Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke

I simply get up simple mbali So kama si ganji buda songa mbali Usicheze nami ju nimejihami Na mbogi hatari toka Ungwaro ndani Like yeah mirror mirror on the wall Can you inform me who is the realest of all yeah? Nitaomoka nijaze kwa pori madoh yeah
I be straining on a day-to-day So if you owe me cash much better pay me , pay me Never play me lipa deni Ama uchore cheque tukutane kwenye benki
Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji cheki buda Sipendi utani mi ndio king mtaani Cheki wasee wanachana majani Nachana mistari niko na ngeus kejani Ana mabeshte mabani that’s not amusing Kama ni video game sidhani hata hawezi kubali
I’m 2 times in the row They call me Aga the doh– for sure we killin the program I got the sauce I’m up in all the shops Christian Dior Dior Nataka maganji brother , nasaka maganji more
Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke
Wera imejipa kazi napiga ndo niomoke Mtashindaga mkingoja nisote Ruaka niko na ka hectare Hater nini utasema? Buda unastammer nikihema
Chimney niko kwa chamber young na niko popular Cheers bila glass niko kwa class yangu tu Vile nafanya hawawezi du , watu wananipenda huwezi niboo Style ni mbichi brand name brand-new ngoma inaskizwa na watu Cheki na repellent nakam thru’ beat ni mbaya na siko juu Hakuna kupoteza muda– nakuta ya Huddah Soldier napanga yakuza nich hatupendi ma Judas
(Yeah Drisa)
Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke Nasaka maganji niomoke Shida za pesa zinitoke Watu wabonge niwatoke
Kawangware Kings’s Omoka Lyrics (Ft Zzero Sufuri).For More Article Visit Purplesgem